Heshima kwenu wadau, simu Yangu techno h5 inagoma kuwaka kabisa. Nikichomeka chaji inaniambua select boot mode na options zake chini za recovery, fast boot na normal. Ila power button na volume kila nnayobonyeza hakuna kunachoendea. Nifanye nin wadau?