JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,025
- 9,598
wadau wa JF simu yangu ya tecno imekatika ule mdomo wake ambao charger au usb cable huchomekwa. Dogo alilazimisha kuchaji kwa kutumia chaja ambayo sio sahihi.
Kwa sasa kuchaji simu ni mpaka nitoe battery na kuichaji kwa kobe.
Je, tatizo linarekebishika?
Kwa sasa kuchaji simu ni mpaka nitoe battery na kuichaji kwa kobe.
Je, tatizo linarekebishika?