Blackberry ipo poa kama wewe sio mvivu wa complicated UI, ukiangalia feature nyingi za android wamecopy kutoka kwa hawa malegend wa smartphones. Kuanzia Whatsapp wamecopy kutoka kwa BBM, Messanger, n.k.
Tatizo kuu la Blackberry nyingi za kizamani zinatumia BIS (Blackberry Internet Services) hivyo ukitaka kutumia internet lazima ujiunge na vifurushi vya Blackberry, japo kuna njia za kuzifanya zitumie vifurushi vya kawaida kama wewe sio mvivu.
Kama unataka kununua Blackberry nunua hzi za kisasa kama kama Z10 na kuendelea zinatumia vifurushi vyote.
Ila kwa durability ni simu nzuri sana.