Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,122
Naombeni msaada wakuu mwanzo nilikuwa napokea notification za jamii forums lkn baada ya kuwa imezingua hapo katikati sipat tena notification....jee nifanye nn
Jee unatumia katika computer au katika simu??.
Jee kama ni simu,unatumia IOS au android??
Naombeni msaada wakuu mwanzo nilikuwa napokea notification za jamii forums lkn baada ya kuwa imezingua hapo katikati sipat tena notification....jee nifanye nn
yaaan settings zote ziko poa .....mwanzo nilikuwa nikizipata mfano niki subscribe topic,quotations nk but toka ilipo zingua kipindi fulan ndio ikawa mwisho.....nilijaribu ku download nyingine but hamna mabadilikoHilo tatizo sio lako tu ni janga la taifa nimejaribu kulipigia kelele kwa muda sasa lakini developers wapo kimya tu...... Lkn nadhani hujaelezea vizuri ni kwamba hupati notification kwenye notifications panel
yaaan settings zote ziko poa .....mwanzo nilikuwa nikizipata mfano niki subscribe topic,quotations nk but toka ilipo zingua kipindi fulan ndio ikawa mwisho.....nilijaribu ku download nyingine but hamna mabadiliko