Msaada Adobe Photoshop CCS

Msaada Adobe Photoshop CCS

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,185
Reaction score
14,890
Wadau napata shida baada ya kubadilisha Background ya Picha/Kuedit napata shida jinsi ya Kusave kwenye PC mfano nimeiwekea background nyeupe ila nikienda kule juu kwenye image-Export sioni Option pia nikijaribu kwenye Save as option haiji msaada please!Cc. CHIEF MKWAWA snipa
 
Last edited by a moderator:
nenda save for web and device

hapana hiyo option haipo Nilivyo fanya Refine Edge kuna ka window kanakua right handside nikikifunga na hii picha inabadilika background hivyo nimerudia hii kazi bila mafanikio!
 
hebu eka screenshot sababu sijakuelewa kabisa
 
WiSj0V.png

wdtv54.png

Wadau napata shida baada ya kubadilisha Background ya Picha/Kuedit napata shida jinsi ya Kusave kwenye PC mfano nimeiwekea background nyeupe ila nikienda kule juu kwenye image-Export sioni Option pia nikijaribu kwenye Save as option haiji msaada please!Cc. CHIEF MKWAWA snipa
 
Last edited by a moderator:
hapana hiyo option haipo Nilivyo fanya Refine Edge kuna ka window kanakua right handside nikikifunga na hii picha inabadilika background hivyo nimerudia hii kazi bila mafanikio!

Eka screen shot.
 
Eka screen shot.

Umeona hapo nilitaka picha ibadilike background iwe nyeupe lakini baada ya Kulamilika nimejaribu kutoa Icho kiwindo cha Upande wa Kulia ili ni save picha lakini nikikitoa tuu picha inabaki vile vile katika state yake ya mwanzo!
 
Attachments

  • 1450338735817.jpg
    1450338735817.jpg
    35.6 KB · Views: 75
Back
Top Bottom