kuna application au namna yeyote ya kunasa mawasiliano ya girlfriend wangu

Vladimirr

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
546
565
wana jf naomba msaada shemeji yenu amebadilika siku hizi naomba kujua kama kuna namna ya kunasa mawasiliano yake kupitia simu yake ya mkononi
 
Mkuu kabla hujaipata hebu piga gharama zq kukulaza kwenye cold room, usafiri,kukuchimbia na ada za watoto utakaoacha, tafuta hiyo pesa mwachie mkeo halafu ndio uendelee na utaratibu wako Wa kumpekua mkuu!!
 
Katika mistake ambazo siwezi kufanya ni izo unazo taka upasuke kwa pressure kujuwa mkeo ana chart na nani,ameongea na nani
Note: don't try this
 
wana jf naomba msaada shemeji yenu amebadilika siku hizi naomba kujua kama kuna namna ya kunasa mawasiliano yake kupitia simu yake ya mkononi

JARIBU HII

TheTruthSpy Monitor

INSTALL KWA SIMU YAKE BILA YEYE KUJUA.

NENDA KWA WEBSITE CREATE ACCOUNT THEN UTAKUWA UNAPATA KILAKITU, INCLUDING TRIP REPLAY.

ANGALIZO KAMA UNA MAGONJWA YA MSHITUKO POTEZEA/ACHA KABISA..............

UKISHINDWA NI PM
 
Kama humuamini muache, unamchunguzaje wakati tayari ni wako? ungefanya uchunguzi kabla hajawa girlfriend wako.
 
Ndio ipo Install kitu inaitwa Simnet Tanzania, lakini kama huna magonjwa ya pressure!! Uilipie 35000 utajua kila kitu!!
 
Back
Top Bottom