Naona ni subscription service ambayo inakupa video clips for 80tsh per day kwa kila channel unayojiunga. Ila sijaelewa bado hizo clips unachagua au ni random or what. Nimejiunga ya TBC ambayo ni bure ila sijapata response yoyote.
nimetumia sana kwenye simu za Nokia, lakini kwenye android hii huduma inagoma kabisa.!
Kwenye menu ya Vodacom imeongezeka option ya Simu.tv kuna mtu anajua ni nini exactly? inaonekana kama unaweza kununua video na movies. nafanya uchunguzi zaidi.
NAtAka kuweka hiyo application simutv nifanyejeNaona ni subscription service ambayo inakupa video clips for 80tsh per day kwa kila channel unayojiunga. Ila sijaelewa bado hizo clips unachagua au ni random or what. Nimejiunga ya TBC ambayo ni bure ila sijapata response yoyote.
NAtAka kuweka hiyo application simutv nifanyeje