Blackberry z30

Blackberry z30

zerounit

New Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari wakuu,nahitaji kujua na kufahamishwa juu ya blackberry z30.karibuni
 
Mimi ninayo ni simu nzuri hata mwonekano na specifications pia
 
mimi pia naitumia.. for 2 yrs now,, sijawai kuwaza kubadilisha... ni bonge ya simu kwa mtu wa mshe mishe inafanya mambo mengi sana...
 
Habari wakuu,nahitaji kujua na kufahamishwa juu ya blackberry z30.karibuni

Bad thing ni kwamba Blackberry wameshai dump BB10 OS na wamehamia Android,hvyo sikushauri ununue simu hii..kwani utakosa support na developers hawataitengenezea tena apps....
 
mi ni mtumiaji mzur sana wa Blackberry ila hizi z series kwangu imekuwa majanga makubwa sana . Niliagiza tano S africa kwa kuwa kule bei ni rahis z10 3 na z30 mbili. Kilichotokea ni ndani ya miezi sita simu zote ziliharibika kwa kuzima tu. Maana moja nilimpa wife moja nikawa natumia na nyingine nikawauzia mabest zangu wa karibu. Kwa kifupi had leo sijui kwamba tatizo ni cm au mm tu nina bahati mbaya.
 
Bad thing ni kwamba Blackberry wameshai dump BB10 OS na wamehamia Android,hvyo sikushauri ununue simu hii..kwani utakosa support na developers hawataitengenezea tena apps....

Kaka hebu funguka mana npo njia panda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom