Nadharia ya Mawasiliano

Nadharia ya Mawasiliano

NileSat

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
340
Reaction score
182
Habari wana ukumbi,
Si mbaya tukashare maarifa hapa Jamii zetu za enzi hizo zilitumia vitu kama Ngoma au Moshi kuwasiliana Mwanadamu anajaribu kuleta njia rahsi zaidi ya mawasiliano kati ya mtu na mtu technology ilipanuka Baada ya Ugunduzi useful wa umeme James clerk maxwell uploadfromtaptalk1450269062726.jpg ndo mtu wa kwanza ku predict uwepo wa electromagnetic waves ktk umeme alindika nadharia ya jambo hili ambapo lilikuja kuwa demonstrated na Heinrich Hertz uploadfromtaptalk1450269162537.jpg and for his honour unit ya Frequency ni Hertz Jamaa alitengeneza spark gap ambayo ili act kama transmitter na akatengeneza na receiver ambayo ili detect waves hio wirelessly .
Wanyama waliendelea kuumiza vichwa kivipi wata encode au modulate waves hizo mana zimeshaonekana zipo na zinaweza kutengenezwa but hazina information au data zozote

-Serbian engineer Nikola Teslauploadfromtaptalk1450269369448.jpg aliunda oscillator kama kifaa cha kutengeneza waves hizo Jamaa ndio wa kwanza kutumia infrared kukucontrol boat kwa remote ila pia aliunda radar ambayo ili trace ukanda wa bahari na kurudisha signal kwa lugha nyepesi Tesla alikuwa Faza of radio ..Radio means mionzi inayotolewa na electromagnetic waves so baada ya hapo tech ya mawasiliano ilipanuka mno Guglielmo marconi ali patent invention ya Radio kwa kubet na Tesla katika court ni wazi Tesla ndio mwenye system ila court ili mfavour mbritish huyu marconi.

Naamini powerful Nations wako apa walipo kwa ajili ya wanasayansi wa aina tatu au nne Electrical,Electronics,Telecommunications na Mechanical mambo mengine yote yanaendeshwa na Tech hizo nne Tukikita base katika Fani miaka 20 mbele tutakuwa tunajifunia ufahari ktk sayari hii
 
Back
Top Bottom