Masada Kufungua account ya iphone cloud store

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari.
Wakuu nina iphone natumia nashindwa kudownload apps kutokana na kutokuwa na account ya icloud.nimecreate account tatizo nikidownload apps naambiwa account haiko verified .nifanyaje?
 
Ukiiunga na Master Card au Visa ni fasta tuu umefanya hivyo!
 
Back
Top Bottom