Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, naomba msaada kwa anayejua code ya kusoma bar code au QR code kwa kutumia either PHP au JAVA.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia r5 tecno zaman havikuwepo hivi vitu..(timeservice na monkeytest), nini chanzo chake na je hutolewaje. Natangulza shukran
1 Reactions
7 Replies
2K Views
guys naombeni msaada mwenye biss key ya channel ya champion tv
0 Reactions
1 Replies
959 Views
It looks like Samsung is determined to win back some of its fans that have decided to keep their older flagship smartphones instead of upgrading to Galaxy S6 due to the lack of features like...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu habari za jioni. Kuna simu hapa ina tatizo tajwa hapo juu kwamba data ikiwashwa haiungi(connect), haioneshi vile 'vimshale' vinavyoashiria imekuwa connected! Lakini ukiunga Wi-Fi/hotspot...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina simu ya samsung note2 N7100; jioni hii imeanza mazinga umbwe, awali ya yote natumia line ya voda. Sasa ghafla inaniambia (selected network vodacom unavailable) na siwezi kupiga simu wala...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Nikitaka kusave jina ,au kutafuta jina nipige ,simu yangu smartphone huawei inaandika hivyo "unfortunately,your contacts has stoped"halafu inastop kweli..wenye uzoefu msaada
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Habari yenu ndg wa jukwaa hili. Jamani anombeni sn msaada kwa wenye ufahamu juu ya namna ya kupata history ya kazi zote zilizofanywa ktk photocopy mashine. Yaani kujua idadi ya copy pages and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Madhumuni ya uzi huu ni kukutanisha wana telecom wote kwa habari,uchambuzi na chochote kile kinachohusiana na field hii. Karibuni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa , Natumaini mi wazima WA afya njema na mwaendelea na majukumu ya kila siku .Najitokeza kwenu kuuliza je kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kujua kua nitapatawapi simu ya...
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Habari za asubuhi wakuu. Ninatumia simu aina ya samsung galaxy S3 Neo sasa tatizo ni kwamba tangu wiki ilopita napata ujumbe kwamba simu yangu ina virus. Nifanyeje kukabiliana na hili?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Specifications : Netwok: 2G/3G/4G LTE Display : 5.5" Full high definition Protection: Corning gorilla glass 3 Dual sim Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner Gps Internal Memory : 32GB...
1 Reactions
116 Replies
18K Views
Naomba kujua nini tatizo kila nikijaribu ku insert picha kwenye post /ku upload kinatokea kibox plain hii ni zaidi ya wiki sasa baada ya jf kufanyiwa marekebisho,
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Natumia simu ya Samsung galaxy mega GT - I9152, tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia muda mwingi, masaa nane (8) na kuendelea. Naomben ushauri
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wakuu. Nina simu niliweka Pin kwa ajili ya security , baada ya kuweka nimejaribu kuifungua bila mafanikio , sasa nahisi kuna namba nilikosea manake sijasahau zile PIN ... Nina...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Wakuu, habarini za mchana. Mchina wangu ana tatizo ambapo ha-install program, ha-save chochote wala hawezi kufuta kilichokuwepo kabla ya tatizo. Nilipojaribu kuflash, imetokea error kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1) Wifi tethering 2) Overclock the processor 3) Custom ROMs and Kernels 4) Complete customization 5) Early updates to Android version 6) Remove bloatware 7) Take screen shots (for pre Android...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu, mtu yeyote mwenye ujuzi wa laptop inayotumia chrome os, namna ya ku install whatsapp?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kampuni ya Netflix leo imetangaza kusambaza huduma zake katika nchi 130 zaidi, ikiwemo Tanzania. Netflix inatoa huduma ya streaming movies/series/etc na unalipia kwa mwezi. Kwa mitandao yetu ya...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
Hivi naweza kutoa password kwenye simu ya tecno ya keypad? Yaan tecno ambayo sio smart phone? Na kama inawezekana naomba mnielekeze.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…