Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Napenda kufahamu kama naweza kupata decoder ya azamtv japo sijawahi itumia?
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Habari jf, leo nimenunua vocha tunnel guru lakin tatizo likaja wakat wa kujaza details kama web host, proxy url na zingine, naomba kunijuza japo kdg nipate mwangaza. Ahsante. Njunwa naomba mchango...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu Nahitaji kununua sim aina ya alcatel one touch kwa anaeifahamu vizuri anaweza kunipa matatizo yake
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Tatzo litakua ni nini?! HDD au window pleas
0 Reactions
3 Replies
1K Views
namna gani naweza kuipata, tafadhali
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Walimu wamelalamika kuhusu "Saa za chabo" zinazouzwa kwenye mitandao zinazowasaidia wanafunzi kuibia kwenye mitihani. Saa hizi za kidijitali, zina "kitufe cha dharura" ambacho ukibonyeza haraka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Window 7 Window 8 Window 8.1 Window 10 Yaan nipo dilemma sijui nipige window ipi? Kati ya hizo shapiga 8.1 , 8 ila 10 na 7 sijapiga please wadau mawazo yenu ni muhimu sana kwangu.
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Naomba mnijuze jinsi ya kuchukia screen short kwa simu ya tecno S5.
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na matangazo ya Google kwa njia ya Adsense kwenye blog yangu
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Blog yangu inakuwa disapproved bcz mwanzo nilikuwa natumia kiswahili sasa naomba kama kuna mtaalamu anipe ujuzi wa jinsi gani naweza kuwa approved au kulipia huo ujuzi kama upo wa kuwezesha...
1 Reactions
5 Replies
854 Views
Cmu yangu ya tecno c5 ambayo bado mpya kila nikizima halafu kuiwasha baada ya masaa kadhaa inaniambia battery low tena hukataa kuwaka mpaka niiweke kwenye charge naombeni msaada wakuu tatizo nn hapo
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Habari wakuu, Nimeonelea kuwa ni vema kuuanzisha uzi huu ili wale wote wapendao kujifunza au wafanyao shughuli mbalimbali za kielektroniki kama vile uundaji wa inverter, amplifiers, preamps...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Ni application gani nzuri na rahisi kutumia kupangilia fifa 14 ut kwenye Android yangu?
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Nipo dar kwa sasa, nina hitaji solar panel pamoja na power bank kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani. Km kuna mtu anaweza kusaidia upatikanaji wake tafadhari naomba msaada.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je ungependa kuangalia mipira la ligi ya uingereza,Uefa,movie,sports zote and all entertainment just go to http://www.firstrowsports.eu/ Prove for yourself
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba msaada, jinsi gani naweza kupata channel za FTA kwenye decoder ya Azam? Kama haiwezekani nifanye je ili kupata hizo channel?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimekua nikinunua Sabufa hizi za wachina lakini kinanchonishangaza haziwezi kuhimili sauti inayotoka kwenye PC hususa ni Media play ya VLC mimi ni muumini wa Sauti Kubwa nimeshangaa hizi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wanajamvi natumai muwazima wote jamani mimi ninatatizo katika simu yangu aina ya tecno c8 tatizo lenyewe nikwamba ninapo mpigia simu mtu akipokea tunaongea vizuri tu shida inakuja pale...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojileza hapo juu COREi7 PROCESSOR 3.34GHZ RAM 6GB HDD 500GB nahitaji kubadilisha GPU coz most of game ambazo Nazi install zinaniletea ujumbe your VRAM is too low...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hey fellas, Check out this article. It has helped a person like understand why my smartphone(huawei y530). Runs out of battery charge when i'm using it. I think it may interest you. Click the...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…