Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na matangazo ya Google kwa njia ya Adsense kwenye blog yangu
dah mimi mkuu nime jiunga lakini inazingu hata sijui namekosea wapinakushauri utumie commission junction au linkshare unaweza lipwa per 1000 impression unlike hawa google wa per click wana suck sana
ila pia waweza kuwaongeza Make Money Online Through Website Monetization | Google AdSense – Google
nicheki 0652740927dah mimi mkuu nime jiunga lakini inazingu hata sijui namekosea wapi