Msaada: jinsi ya kujaza detail katika Tunnel guru tanzania

desiigner

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
520
229
Habari jf, leo nimenunua vocha tunnel guru lakin tatizo likaja wakat wa kujaza details kama web host, proxy url na zingine, naomba kunijuza japo kdg nipate mwangaza. Ahsante.
Njunwa naomba mchango wako.
 
Mkuu aliyekuuzia angekuwa msaada wako mkubwa
Hizi mambo zinafanyika chini ya kapeti na sio hadharani namna hii
 
Back
Top Bottom