K kanewi JF-Expert Member Jun 12, 2012 298 200 Mar 5, 2016 #1 Naomba mnijuze jinsi ya kuchukia screen short kwa simu ya tecno S5.
g vizy JF-Expert Member Jan 5, 2016 899 982 Mar 5, 2016 #2 Bonyeza buton ya Kuzima cm Pamoja na kuongezea sauti vyote kwa wakat mmoja utaona ina capture