Kwa vigezo vya PC yangu niweke GPU ya ram ngapi?

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
Kama kichwa cha habari kinavyojileza hapo juu

COREi7
PROCESSOR 3.34GHZ
RAM 6GB
HDD 500GB nahitaji kubadilisha GPU coz most of game ambazo Nazi install zinaniletea ujumbe your VRAM is too low VRAM yang ni mb 64 tyuu
 
Kubadilisha gpu inabidi ujue power supply yako ina uwezo gani. hivyo fungua ule mfuniko angalia ina watts ngapi.

na gpu vram ndio inamatter ila speed ya hizo ram ndio muhimu zaidi. kuna gpu zina vram 128mb tu lakini zinazipita gpu zenye ma gb ya ram.

Achana na gpu yoyote yenye ddr3 za ram sababu tayari ram zake ni slow compare na za pc.

Tafuta atleast zenye ddr5 ram.

Pia hio gpu yako ni ipi? ungeitaja hapa sababu inaweza kuwa ni nzuri ila ikawa na tatizo jengine kama driver
 
kubadilisha gpu inabidi ujue power supply yako ina uwezo gani. hivyo fungua ule mfuniko angalia ina watts ngapi.

na gpu vram ndio inamatter ila speed ya hizo ram ndio muhimu zaidi. kuna gpu zina vram 128mb tu lakini zinazipita gpu zenye ma gb ya ram.

achana na gpu yoyote yenye ddr3 za ram sababu tayari ram zake ni slow compare na za pc.

tafuta atleast zenye ddr5 ram.

pia hio gpu yako ni ipi? ungeitaja hapa sababu inaweza kuwa ni nzuri ila ikawa na tatizo jengine kama driver
Nashukuru sana mkuu me GPU yangu ina mb 64 tyuu na mimi nia yangu nilikua nataka niweke ya 1GB ram
 
Ila kwa maelezo yako ntafanya kama ulivonishauri na pia nilikua nakuuliza gpu yenye vram ya 128 inauzwa shingapi??
gpu ni nyingi sana ila sikushauri kununua kwa kuangalia vram.

kama budget ni ndogo sana andaa around 100,000 hadi 150,000 tafuta gtx 740, kama ipo kidogo andaa around 200,000 tafuta gtx 750ti hizi gpu zinakubali hadi power supply ndogo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojileza hapo juu

COREi7
PROCESSOR 3.34GHZ
RAM 6GB
HDD 500GB nahitaji kubadilisha GPU coz most of game ambazo Nazi install zinaniletea ujumbe your VRAM is too low VRAM yang ni mb 64 tyuu


Mzee hiyo pc iko vizuri sana, naomba niulize ulinunua wapi? Yani hapo ukinuua gpu nzuri umemaliza kazi. Cha mwimu cheki Power supply imeandika watts ngapi ujue limitations zako. Pia unaweza kutumia hii app tujue kuhusu motherboard yako, na gpu yako vizuri zaidi HWiNFO, HWiNFO32/64 - Download
 
Kwa nini mkuu?
laptop hazina port inayoweza pokea bandwitch ya gpu.

ila laptop za kisasa kuanzia hii 2016 ndio zitakuja na thunderbolt 3 port hii inauwezo wa kupitisha gb 40 kwa sekunde hivyo atleast utaweka gpu ya nje.

kuhusu hio power supply ya laptop cpu yako ni ipi? na jina kamili la laptop ni lipi?
 
Asante chief. Mashine nzuri hiyo. Sijaona nyingine inakribia hapa bongo ukiachana na custom za watu waliojenga
ni kweli kaka hapo ukibadili psu na gpu una gaming machine itakayodumu hata miaka 5 hadi 10 ijayo. na technology kama direct x 12 na vulcan sasa hivi games zinaanza kutumia thread nyingi hivyo i7 inazidi kuwa nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom