valent
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 657
- 875
Habari wakuu, Nimeonelea kuwa ni vema kuuanzisha uzi huu ili wale wote wapendao kujifunza au wafanyao shughuli mbalimbali za kielektroniki kama vile uundaji wa inverter, amplifiers, preamps, urekebishaji(repair) wa vifaa mbalimbali vya kielektroniki tupate kubadilishana ideas.
Karibuni nyote, ahsanteni kwa ushirikiano!..
Karibuni nyote, ahsanteni kwa ushirikiano!..