msaada wanajamvi#

masanzu

JF-Expert Member
May 6, 2013
605
217
habari zenu wanajamvi natumai muwazima wote
jamani mimi ninatatizo katika simu yangu aina ya tecno c8 tatizo lenyewe nikwamba ninapo mpigia simu mtu akipokea tunaongea vizuri tu shida inakuja pale ninapo kata simu nikija kuangalia no iliyopigwa ile no siikuti na kama nimepiga mimi nakuta 0 haipo mf nimepiga no 0764189826 naikuta ni 765189826 kam nimepigiwa yenyewe siikuti kabisa inaniandikia unknwon no sasa sielewi tatizo nini au sijuwi labda nimebonyeza wapi naomba yoyote mwenyewe ufahamu wa haya mambo anisaidie
 
Back
Top Bottom