Naweza kupata channel za FTA kwenye decoder ya AZAM?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,595
Wakuu,

Naomba msaada, jinsi gani naweza kupata channel za FTA kwenye decoder ya Azam? Kama haiwezekani nifanye je ili kupata hizo channel?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom