Naombeni ushauri wadau ni window ipi nzuri kati ya hizi??

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,023
1,171
Window 7
Window 8
Window 8.1
Window 10
Yaan nipo dilemma sijui nipige window ipi? Kati ya hizo shapiga 8.1 , 8 ila 10 na 7 sijapiga please wadau mawazo yenu ni muhimu sana kwangu.
 
Weka latest windows ambayo ni windows 10, kwanini ueke windows ya zamani? ukiwa na 10 hutahangaika na ma anti virus, utarun app za simu kupitia store, inakuja na driver za vitu kama wifi, webcam nk hutahitaji kuhangaika na kueka masoftware ya webcam, task manager nzuri nk
 
eka latest windows ambayo ni windows 10, kwanini ueke windows ya zamani? ukiwa na 10 hutahangaika na ma anti virus, utarun app za simu kupitia store, inakuja na driver za vitu kama wifi, webcam nk hutahitaji kuhangaika na kueka masoftware ya webcam, task manager nzuri nk
Asante mkuu ntafanya hvoo ntaweka window 10
 
Msaada wa haraka sana. Simu yangu aina ya Samsung galaxy A5, inagoma kuwaka. Imeniandikia "Downloanding.......
Do not tun off targett!!. Toka jana bado ipo vivyo hivyo.
 
Msaada wa haraka sana. Simu yangu aina ya Samsung galaxy A5, inagoma kuwaka. Imeniandikia "Downloanding.......
Do not tun off targett!!. Toka jana bado ipo vivyo hivyo.
ipo download mode. huenda uliizima wakati wa kuwasha ukabonyeza bahati mbaya volume down ikaingia download mode. pia inawezekana vile vipini vya usb vimenatana ndio maana imeingia download mode.

zima simu washa kama tatizo linaendelea tafuta tochi halafu chunguza sehemu ya kuchajia kama hio usb vile vipini vyake havijagusana.
 
bb6d93ca672d6d8469b389cb26bb9143.jpg
 
Back
Top Bottom