Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wadau nimekua nikinunua Sabufa hizi za wachina lakini kinanchonishangaza haziwezi kuhimili sauti inayotoka kwenye PC hususa ni Media play ya VLC mimi ni muumini wa Sauti Kubwa nimeshangaa hizi Sabufa mda mwingine zinazima na Kukoroma kitu ambacho Si enjoy kabisa! Ushauri ninunue Radio gani nipate furaha.