Mtafute huyu +255714373488 atakisaidia yupo huko Dar na anajihusisha na biashara hizo.Nipo dar kwa sasa, nina hitaji solar panel pamoja na power bank kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani.
Km kuna mtu anaweza kusaidia upatikanaji wake tafadhari naomba msaada.
Mtafute huyu +255714373488 atakusaidia yupo huko Dar na anajihusisha na biashara hizo.
Unahitaji solar Panel tuu au Solar system? Solar system=Battery+Inverter+CControl+Panel+ Cable. Pia kama ni Solar system Unataka kwa matumizi ya vifaa gani? Kama ni Solar panel tuu nicheki tunauza tsh. 2500/wtNipo dar kwa sasa, nina hitaji solar panel pamoja na power bank kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani.
Km kuna mtu anaweza kusaidia upatikanaji wake tafadhari naomba msaada.
Unahitaji solar Panel tuu au Solar system? Solar system=Battery+Inverter+CControl+Panel+ Cable. Pia kama ni Solar system Unataka kwa matumizi ya vifaa gani? Kama ni Solar panel tuu nicheki tunauza tsh. 2500/wt
Power bank ni ya Solar au hiizi za simu?
Inabadili DC kwenda AC. Dc ni umeme unaohifadhiwa kwenye betri na AC ni umeme kama wa Tanesco.Naomba ushauri Wa kitaalam kwa mwenye uelewa kazi ya invertor ktk system ya soral
Kazi ya Inveter ni kuruhusu upatikanaji wa umeme wa AC(alternating current) kutumika kwa baadhi ya vifaa vinavyotumia aina hiyo ya umeme, maana ktk mfumo wa uzalishaji wa umeme wa solar kinachopatikana ni umeme wa DC(direct current) hivyo kwa baadhi ya vifaa vinatumia wa kam wa Tanesco hauwezi kutumia. Hapo ndipo Inverter inapochukua nafasi yake, kubadili umeme wa DC kuwa umeme wa AC ili aina hiyo ya vifaa vitumike ipasavyo. Baadhi ya vifaa vinavyounganishwa na Inveta ni km Tv, Friji, Feni n.k.Naomba ushauri Wa kitaalam kwa mwenye uelewa kazi ya invertor ktk system ya soral