Msaada;wataalamu wa adsense nisaidie hapa

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Blog yangu inakuwa disapproved bcz mwanzo nilikuwa natumia kiswahili

sasa naomba kama kuna mtaalamu anipe ujuzi wa jinsi gani naweza kuwa approved

au kulipia huo ujuzi kama upo wa kuwezesha blog yangu iwe na adsense
 
Futa habari zako zote na uweke mpya za kingereza halaf waombe tena ukikwama nijulishe
 
Blog yangu inakuwa disapproved bcz mwanzo nilikuwa natumia kiswahili

sasa naomba kama kuna mtaalamu anipe ujuzi wa jinsi gani naweza kuwa approved

au kulipia huo ujuzi kama upo wa kuwezesha blog yangu iwe na adsense
nicheki 0652740927
 
nitumie email Na pasword yako,
nitakuwekea adsense ,na utaipata after 24 hrs,kama upo tayari nicheki 0652740927 tuzungumze bei kidogo hata ela ya chai tu
 
😀 hahahahahaha mimi nina tatizo pia kwa blog yangu nimeunganisha lakini matangazo hayaone kani dah
 
Back
Top Bottom