Habari wakuu,
Jana kama sikosei,wanasayansi walitangaza mapinduzi makubwa ya kugundua alichokisema Albert Einstein miaka mia moja iliyopita kuhusu kupata/kuwa na uwezo wa kuipima gravitation...
Embu leo tuongelee kuhusu simu.kwa sababu
siku hizi mada iliyobamba ni kuhusu simu feki
1.Ivi ni kweli simu yoyote ya button ya laini
mbili mfano tecno,itel,ditel na smartphones zenye laini...
Simu yangu ni Samsung Galaxy Duos,kwanza ilianzakwa kugoma kutumia WhatsApp na nilipojaribu ku-update WhatsApp napo inagoma,nimejaribu pia ku-update kwa kutumia Kies lakini wapi na sasa Google...
Ndugu zanguni, sijui kama mnafuatilia sakata kati ya Apple Smartphones na Serikali ya Marekani. Serikali inashinikiza Apple wawatengenezee backdoor App. ili waweze kusoma encrypted messages za...
Heshima kwenu
Wakubwa nilikuwa nahitaji ETS kwa ajiri ya Ps2 vipi hili litawezekana au game hii ni kwa ajiri ya pc na kama hamna je naweza kupata game inayofanana na hii.
Apple chief executive Tim Cook says the FBI's court order to access the mobile phone of San Bernardino killer Syed Farook is "dangerous", "chilling" and "unprecedented".
The FBI says Apple's lack...
Ndugu zangu nina FIFA 15 kila nikifanya settings za padi inagoma, naombeni msaada kuset ili iwe kawaida (shoot iwe box, triangle iwe pen.pass, O ni chop na X ni pasi fupi) mimi kila nikiseti...
Simu yangu imegoma kukubali kuinstall tubemate, kuna program ya Clean Master inazuia hii program isiwe installed.
Hata nikijaribu kui uninstall haikubali kutoka, toka nilipo update to lollipop.
Habar gani jamani wanajamii forum nafikili wote wazima tena wa afya ila jaman kunatatizo kidogo nilikuwa naomba kuxaidiwa jaman kuna waya unaitwa Ethernet cable unatumika kwenye computer kwa ajili...
Kampuni ya India imezindua simu janja 'smartphone' yenye gharama nafuu zaidi duniani. Kampuni ya 'Ringing Bells imesema simu yao ya freedom 251 itagharimu rupia 251 pekee(dola 3.6 za kimarekani...
Wadau naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurudisha OS y iPhone yangu imekufa.
Toka juzi najaribu ikifika karibu kumaliza inakufa tena. Inarestore almost 90% kisha inakwamia hapo.
Tafadhali...
Habarini wakuu!
Tafadhari naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya ku unlock Samsung 4G LTE! Nikiwasha inaniandikia please enter your privacy protection password to unlock your phone! iwe na Line au...
Habari wakuu.
Nina simu aina ya tecno M3. Hii simu ina apps ambazo nikizifuta zinafutika lakini nikiwasha simu tu zile apps zote nilizofuta nazikuta zimerudi. Apps hizo ni DU battery saver, 360...
Wadau ninasimu aina ya Huawei y530 nikiwasha inanipa Maelezo haya-fastboot&rescue mode,please connect USB cable to your computer and open hisuite.(more information -...
Ndugu wanajamiiforum,
Tablet nilikuwa nimeiacha kwenye umeme kwa muda wa saa moja hivi huku ikiwa na muvi inaendela kucheza wakati ina download windows 10 kwa ajili ya ku upgrade kutoka windows...
Wakuu natumaini salama / Amani ya mola iwe nanyi.
naomba msaada nataka kutengeneza project ya chuo webiste ya kuuza mambo ya sport.
naomba kujua program language itakayo kua easy kuitumia japo kua...
Tigo wanatangaza kwamba wale wenye simu zenye uwezo wa kufanya kazi katika mtandao wa 4G waende katika Tigo shops wabadilishe namba zao za 3G ili wapewe namba mpya za 4G. Mimi simu yangu ni...