Here is the real deal after waiting for some times here is a change we have been waiting.
Not so much but to bring the old memory card slot does the job for most of us who love to have our...
habari wadau kama mtakumbuka jana nilileta uzi kuhusu kutengenezewa application ya site yangu bt leo nimekomaa mwenyewe nimefanikiwa sasa naomba msaada mpya maana uchumi umeyumba naomba mwenye...
Habar wana jf, kuna tatizo linalo nikera pale napo tumoa Internet, kuna app zinakua zinajitokeza hadi kero, mfano naweza nikafungua app ya live score utashaanga linakuza tangazo la app nyingine...
Natafuta mtu ambaye atakuwa tayari tubadilishane, nnayo vodafone tablet nimeitumia kwa miezi 3 tangu niinunue vodashop ipo ktk hali nzuri na nilisha iroot tayari an ideal window phone nnayo hitaji...
Ni Kama wiki 2 zinakaribia tangu igundulike kuwepo kwa "bug" katika iOS ambayo hupelekea iPhone kushindwa kuwaka iwapo tarehe katika simu itasetiwa kuwa Mei 1970 kurudi nyuma. Unaweza kusoma zaidi...
Hili tatizo la App ya WhatsApp kutopokea meseji mpaka nifungue App husika bila kufanya hivyo sipata meseji
......MSAADA WADAU
NB:DATA CONNECTION INAKUA ON LAKIN MESEJI HAZIINGII
Rafiki yangu ambae anaishi Marekani anataka kunizawadia TV kutoka huko yenye kutumia NTSC ambayo ameshainunua na sisi hapa Tanzania tunatumia Pal secom...Nikamwambia asubiri mpaka nipate maarifa...
This's too much. Nimejaribu ku-Google sijapata jibu and maybe, hapa naweza kupata msaada kwa wadau. In short, natumia Samsung E5. The problem ni kwenye radio. Mara kwa mara huwa inakata wakati ipo...
Salam wandugu.
Natumai mu-wazima nyote. Kama topic inavyojieleza kuwa natumia Tubemate ku-download videos au movies kutokea Youtube.
Sasa kuna baadhi ya videos huwa zinagoma, hizi videos...
Wakuu naomba msaada,
Mimi dada yenu napenda sana mziki sasa nataka kumix collection yangu ya nyimbo kama 80 hivi ili ziwe zinapiga bila kuona kama wimbo umeisha...je kuna software gani free...
Natumia huwei y300, lakin Leo wakat nasikiliza redio asubuhi ghafla simu ilizima nilipo iwasha ikawaka then baada ya sekunde chache ikaandika
"the temperature is higher than the operating...
Habari za humu wadau,natumia simu aina ya samsung j1 na line ya tigo.Imekuwa ikinisumbua kwa siku kadhaa sasa kiasi kwamba inafikia muda nashindwa kupiga simu,kutuma messages na hata kutumia...
John McAfee, mwanzilishi wa kampuni mashuhuri ya kutengeneza programu za kuzuia na kupambana na programu za kompyuta, amesema anaweza kuifungua simu aina ya iPhone iliyotumiwa na Syed Farook...