lidoda
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 641
- 574
Rafiki yangu ambae anaishi Marekani anataka kunizawadia TV kutoka huko yenye kutumia NTSC ambayo ameshainunua na sisi hapa Tanzania tunatumia Pal secom...Nikamwambia asubiri mpaka nipate maarifa kutoka JF members ndio aniletee
Swali langu je kuna converters zozote ambazo zinaweza kunifanya nitumie hiyo TV.?? hapa sizungumzii converters za video...
Nawakilisha
Swali langu je kuna converters zozote ambazo zinaweza kunifanya nitumie hiyo TV.?? hapa sizungumzii converters za video...
Nawakilisha