Kichwa cha simu ya mezani ya TTCL

Fedora

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
238
172
Hivi kuna uwezekano wowote wa kuvichakachua hivi vichwa vya simu ya mezani vya TTCL ili viweze kutumia line za voda, tigo, nk?
 
TTCL mezani ni cdma na line unazotaka kueka wewe ni gsm si rahisi kukubali.

ila zipo simu za mezani za gsm zinazokubali hii mitandao ya kawaida zunguka ununue
 
Back
Top Bottom