[MSAADA] : Mbona Nashindwa Ku-download Videos za Music Kutumia Tubemate ?.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,160
5,738
Salam wandugu.

Natumai mu-wazima nyote. Kama topic inavyojieleza kuwa natumia Tubemate ku-download videos au movies kutokea Youtube.

Sasa kuna baadhi ya videos huwa zinagoma, hizi videos zinakuwa na mark (*) huwa hazikubali sjui kwa nini.

Msaada wenu tafadhali.

Ahsante.
 
Kwa kawaida kwa hz simu zetu uwe unachukua zile zenye namba flan mara 720, 480, au 360 maana zenye * ni kwa ajili vifaa vikubwa kama vile computer na tv , mara nyingi ni kubwa sana na kingne update hyo app
 
unaweza cheki resolution yake? youtube downloader nyingi zinazingua kwenye video za 480p na 1080p.
 
wala usiteseke download Apps inayoitwa Snaptube.
japo haipatikani kwenye playstore.
inapatikana kwenye browser. ingia google andika Snaptube then ikija download
 
Mkuu mimi natumia S4 kila ni kidown load inamaliza ila inakataa kufungua inasema. For security reasons you phone is blocked to down load app from unknown source.
So nifanyaje?
Weka kitiki hapo then install Haina shida"
 
Mkuu mimi natumia S4 kila ni kidown load inamaliza ila inakataa kufungua inasema. For security reasons you phone is blocked to down load app from unknown source.
So nifanyaje?
weka tiki hapo kwenye unknown sources
3d04c71d16eb39f7f7c1337b90092363.jpg
 
Back
Top Bottom