WHATSAPP HAIPOKEI UJUMBE

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
516
682
Hili tatizo la App ya WhatsApp kutopokea meseji mpaka nifungue App husika bila kufanya hivyo sipata meseji
......MSAADA WADAU

NB:DATA CONNECTION INAKUA ON LAKIN MESEJI HAZIINGII
 
Wakati mwingine punguza mzigo uliopo kwenye app kama ma video pics na vinginevyo kwan app huwa inakua over loaded ndo vimatatizo kama hivyo hutokea
 
Hakikisha simu yako haipo katika ile setting ukiset activity ukitoka nayo yatoka. Nilishawahi set hivo nilikuwa sipati msg za jf wala whatsap mpaka niingie kwa application husika mpaka nilivyoitoa
 
Unaitiwaje mkuu Kibajajitz
 
huwa nashangaa tu kuona alama ya miss calls au nikipiga watokea wekundu na hajawahi mtu ku pick na nikipick mm inakatika .asante kwa kwa concerned
Nadhani kibongo bongo huko wameblock whatsap call cha msingi ingia playstore tafuta vpn inaitwa flyvpn iweke utaenjoy mimi huwa nalonga na whatssap call sana. Hii pia nchi kama oman pia wameblock hii huduma so cha muhimu ni kutafuta vpn nzuri tuu. Ili ku unblock hizo kitu
 
ama kweli hapa ni kisma cha maarifa
Nadhani kibongo bongo huko wameblock whatsap call cha msingi ingia playstore tafuta vpn inaitwa flyvpn iweke utaenjoy mimi huwa nalonga na whatssap call sana. Hii pia nchi kama oman pia wameblock hii huduma so cha muhimu ni kutafuta vpn nzuri tuu. Ili ku unblock hizo kitu
 
Gb ndo yenye hiyo bugs. ..Hakikisha una latest version ya gb na hakikisha pia huja hide second tick na online status
Daah second tick cja hide ipo ila nime hide kwamba meseji imesomwa na online status cjahide ipo free tuu....

Alaf mkuu naomba basi kama una latest version ntumie link apa basi
 
Wakati mwingine punguza mzigo uliopo kwenye app kama ma video pics na vinginevyo kwan app huwa inakua over loaded ndo vimatatizo kama hivyo hutokea
Walaa haina vutu vingi mkuu iko free sema ndio ivyoo tena
 
Hili tatizo la App ya WhatsApp kutopokea meseji mpaka nifungue App husika bila kufanya hivyo sipata meseji
......MSAADA WADAU

NB:DATA CONNECTION INAKUA ON LAKIN MESEJI HAZIINGII
uninstall alafu download upya. Nilishawahi kupata tatizo hilo pia
 
Back
Top Bottom