MSAADA namna ya ku mix MP3 kwa kutumia auto programmes

Rihana

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
498
250
Wakuu naomba msaada,
Mimi dada yenu napenda sana mziki sasa nataka kumix collection yangu ya nyimbo kama 80 hivi ili ziwe zinapiga bila kuona kama wimbo umeisha...je kuna software gani free ninayoweza kufanya kazi hiyo automatically? naomba msaada
 
Back
Top Bottom