wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Habar wana jf, kuna tatizo linalo nikera pale napo tumoa Internet, kuna app zinakua zinajitokeza hadi kero, mfano naweza nikafungua app ya live score utashaanga linakuza tangazo la app nyingine mfano hii ya kupatana, yaani hadi kero msaada jinsi ya kuzuia hiz app zinazo round