Benjamine Luboya New Member Apr 16, 2014 1 0 Feb 22, 2016 #1 Jaman wadau ngependa kujua kama computer engineering ni faculty nzuri kwa hapa bongo kama ilivyo kwa ulaya?
Jaman wadau ngependa kujua kama computer engineering ni faculty nzuri kwa hapa bongo kama ilivyo kwa ulaya?
Mtangoo JF-Expert Member Oct 25, 2012 6,167 5,610 Feb 22, 2016 #2 Nzuri kuvua samaki au nzuri kwa lipi? Hakuna faculty mbaya