Natafuta mtu ambaye atakuwa tayari tubadilishane, nnayo vodafone tablet nimeitumia kwa miezi 3 tangu niinunue vodashop ipo ktk hali nzuri na nilisha iroot tayari an ideal window phone nnayo hitaji ni lumia 620 or above na nipo tayari ku-top up kwa fedha ama simu nyingine kulingana na device uliyonayo. Reason naitatji kwa ajili ya matumiz ya Ms word, anybody who's interested ani PM to make a deal