Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

je,wewe ni muhitaji wa account ya adsense alikini umekuwa kila ukifanya aaplication unakataliwa,tafadhali ninauza account ambazo zipo tayari unachukua na kauanza kupiga pesa. pia tunauza...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
habari wadau. Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nahitaji Galaxy S4 genuine kabisa (black or blue). Isiwe clone wala isiwe fake na isiwe used. 16 Gig. mwenye kufahamu duka lipi naweza pata dar...
1 Reactions
0 Replies
725 Views
Smartphone ipi ina run vizuri hd games like GTA SA, Modern Combat or any other heavy games na iwe super kwenye Internet na budget yangu ni 300,000/- iwe imara maana nitakaa nayo mda mrefu
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada toka wiki iliyopita kila nikiingia internet kwa laptop inagoma kabsa sielewi tatizo nini inaandika" connection lost remain offline"
0 Reactions
2 Replies
889 Views
habari ya asubuhi wakuu. Nimedownload irfanview na kuinstall nikadownload riot plugins lakini kila nikijaribu kuresize picha inaniletea pop up inayosema "cant load plugln RIOT.DLL please install...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Habari zenu wakuu. Ama baada ya salaam.................naombeni msaada kama mada inavyojieleza hapo juu wakubwa kuhusu app nzuri ya fonts kwa simu yangu wadau. Simu niliyonayo hapa ni HUAWEI...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Anaeweza kuinstall,na manuva mengne kwa chromebook anifanyie.ntamlipa.npo dar.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni wengi tumekuwa tukukutana na tatizo hili la written protection pale tunapotaka kutumia flash au memory card zetu hasa kwenye computer. Hii inamaanisha kuwa hiyo flash au memory card imewekewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kumekuwa na ongezeko kubwa la simu za android ambazo zinatoka nchini china. watu wengi wamekuwa wakishindwa kuzifanyia hard reset simu hizi kutikana na lugha ambayo hujitokeza baada ya kujaribu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili jambo la udukuzi wa taarifa za wateja kupitia mashine za ATM za baadhi ya benki nini hasa chanzo,uduni wa teknolojia za benki ama nini hasa? je watu hawa hufanikishaje zoezi hili hadi kuweza...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Hello Geeks!! Naomba kutambua tofauti kati ya Scripting Language and Programming language according to their functionality and examples. Maana nimeanza kupata shida juu ya hii kitu baada ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sina la kuongea Sana ila huu ndio ulimwengu wa window phone crudi tena android
1 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI WAKUU. King'amuzi changu cha Azam kimepoteza signal toka jana,nimeangalia Dish liko vzuri sasa naomba msaada nifanyaje? Kunautaalam gani kwenye dish wa kufanya maana nimeangalia nimeona...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Anza kujifunza c programming language kwa kupitia tutorials za youtube. Kwa kutumia youtubedownloader kwenye pc yako , download playlist hii...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nna tsh 180,000 naitaji window phone ata ikiwa used lakin iwe inafanya kazi vizuri, walau iwe na ukubwa wa inch 4 na kuendelea, iwe nokia, htc and etc ili mradi ina OS ya WP. Ahsanten
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nataka kuroot startimes yng....vp ni app gan nitumie ambayo haitakua na madhara kwa handset ang....thank u, ur help
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Kuna hapa nilikuwa na uwezo wakudownload movie ila sasa naona main sever watakuwa wame block torrents zote!je naweza kufanyeje niendelee kupakua stuffs?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu wa software nina issue hapa, leteni mawazo yenu Use case: Nina web(with ftp) server ambayo inapokea (excel)files kibao kila siku,kutoka kwa client mbalimbali. Ftp server inapokea na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina android app ambayo inategemea .NET web service kuchota data kutoka kwenye database. Sasa inapotokea nina badilisha au re-design baadhi ya web service components najikuta nalazimika kufanya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tuendelee na maujanaja namba 3 wa makomyuta na masoftware na mengineyo kama ifuatavyo: 1. Kutumia trial version software Forever!! Ujue sofware nyingi ni za kununua na kama huna fedha basi...
28 Reactions
49 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…