Wakuu habar!
Kuna wakat android phone zetu wnyw tunazpenda sanaaa! Lkn kuna wakat zinaboa, kuna kero nyingi!
But this time, nataka tuwekane sawa juu la kero ya android smartphone zetu pind...
Wakuu wa jukwaa naomba kuwakilisha hii mada. Nimekuwa nikiona matangazo mengi sana ya hili jengo jipya la mobile plaza, ni gorofa kubwa lenye maduka ya simu tuu..
Binafsi sijawahi kwenda toka...
naomba msaada, flash yangu lg 64gb haifanyi kazi. mafaili yot yanayowekwa ndani ya flash hayafanyi kazi. mfano nimeweka movie na audio/video music hazifunguki zote. msaada tafadhali
Hawa jamaa hamna kitu kabisa ndo maana vifurushi vyao wanauza bei sawa na Bure eti 1GB unapata kwa 3,500/=
Sijapendezwa na speed yao kabisa yaani transfer rate ni 900KB/sec
Sijui maeneo yote...
Think your eight-core PC is cool? Not anymore. Intel is turning loose a 22-core monster of a CPU, dubbed the Xeon E5-2600 V4.The CPU’s 22 count is made up of Broadwell cores, which when combined...
Habari za asubuhi wadau. Kuna project naifanya itahitaji kuwa na mamba hizo hapo Kwa ajili ya kutuma sms Kwa watumiaji. Ninaomba kuelekezwa ni wapi ninaweza kuzipata na vipi kuhusu programming ya...
The Justice Department has managed to unlock an iPhone 5c used by the gunman Syed Rizwan Farook, who with his wife killed 14 people in San Bernardino, California, last December. The high-profile...
Habarini wana jamvi..
kumekuwepo kwa habari na visa vingi vya kusisimua juu ya namna gani vitu mbalimbali vya kisayansi viliundwa na mpaka vikaanza kufanya kazi..
kwa mfano simu, umeme, ndege...
Habari!
Katika harakati za installation ya ArchiCad 17 software nimekutana na tatizo la software kudai kukosekana kwa GSRoot.dll sasa nimetafta suluhu sijafamikiwa licha ya kugoogle na kuweka...
With the launch of BlackPanther seemed to overcome all the difficulties of flashing and unlocking huawei modems.
::. Valuable product that can always be a sense of place in a workshop.
...
Habari za kazi wakuu, natafuta mtu wa kudesign website coz nmefanya design kwenye wix but nmeshindwa kuhost kwa hapa bongo... yaani
Anayeweza kufanya hiyo kazi anicheki 0714 044 048
Guyz nime install Backtrack kwenye pc yangu nataka kujifunza namna ya kuitumia kama kuna mtu anafahamu link ambayo inaweza kunipa muongozo mzuri ili niweze kujifunza naomba ani2mie
Habarini....Naombeni msaada najua kupitia hili langu nawengine watajifunza,pia najua halipo lisilo wezekana!
Nilikuwa nataka kudelete baadhi ya files katika simu yangu inayo tumia android system...
Naomba msaada,
Nimejaribu bila mafanikio,
Ila naweza kutoa vitu kwenye compyuta kwenda simu, but viceveser imeshindikana,
Simu yangu Sony Xperia Z ultra 9629