Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 368
- 498
Funguka
Hivi hii kitu kwani haikoWaongeze kuwe na uwezo wa kutumia apk file,
Video capacity hadi 50MB
Hii sidhani kama itawwzkana..Mtu aki screen shot conversation yako,
Ikupe notification kama snap chat
Una maana kuiblock auKuwa na uwezo wa kuignore sms za baadhi ya watu yaani usizione kabisa
Hapana, mfano kwenye group, kila akituma usizioneUna maana kuiblock au
Hebu nielekeze hiyo imekaaje maana Kuna mtu ananiboaHapana, mfano kwenye group, kila akituma usizione
kwan umeshindwa ku left kundiniHapana, mfano kwenye group, kila akituma usizione
Hii tayariIweze kutuma hadi file za PDF & DOC
Mbona nakuwa najarb alafu inashindikanHii tayari