rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Nisaidieni namna gani kuitumia USB flash kuongeza ukubwa wa RAM kwenye kompyuta plz!
heheeeh,,,huu mfano wako umenfurahsha mkuu.-Speed ya ram 20 mpaka 30gbps kwa sekunde, hii ni ddr3.
-speed ya flash 4mbps mpaka 10mbps
Ram ina speed hadi mara 5000 ya flash.
Usitumie flash kama ram, itakuwa ni kama uende airport na baisikeli halafu ufunge kamba baisikeli yako na bawa la ndege ili ikimbie sana.
-Speed ya ram 20 mpaka 30gbps kwa sekunde, hii ni ddr3.
-speed ya flash 4mbps mpaka 10mbps
Ram ina speed hadi mara 5000 ya flash.
Usitumie flash kama ram, itakuwa ni kama uende airport na baisikeli halafu ufunge kamba baisikeli yako na bawa la ndege ili ikimbie sana.
Nime pop up hii thread coz of ur comment mkuu sjui ulifkiria nini kiongozi ni mfano maridhawa kabisa.
Kwa hiyo Chief-Mkwawa unashauri nini kifanyike kama mtu hana uwezo/pesa ya kubadilisha ram na kuweka yenye uwezo mkubwa ?.
Na pia kwa kufanya zoezi hilo hapo juu husababisha athari gani kwa vifaa husika kiongozi ?.
Thanks In Advance.
Mbona ram ni bei rahisi tu kaka, around 20,000 unapata 2gb ddr3
lakini mimi nataka kupakua bluestacks na mashine inasema lazima iwe na ram 2GB vipi nikitumia flash kama RAM?-Speed ya ram 20 mpaka 30gbps kwa sekunde, hii ni ddr3.
-speed ya flash 4mbps mpaka 10mbps
Ram ina speed hadi mara 5000 ya flash.
Usitumie flash kama ram, itakuwa ni kama uende airport na baisikeli halafu ufunge kamba baisikeli yako na bawa la ndege ili ikimbie sana.
Nahitaji RAM ya 8gb ili niiweke kwenye laptop yangu Dell E series yenye 4gb so far ni kiasi gani Boss?Mbona ram ni bei rahisi tu kaka, around 20,000 unapata 2gb ddr3
ram ya 8gb inaweza fika laki au zaidi kwa huku kwetu sijawahi ona zikiwa bei rahisi.Nahitaji RAM ya 8gb ili niiweke kwenye laptop yangu Dell E series yenye 4gb so far ni kiasi gani Boss?
lakini mimi nataka kupakua bluestacks na mashine inasema lazima iwe na ram 2GB vipi nikitumia flash kama RAM?
ni kweli chief mkwawa unavyosema readyboost haisaidii chochote naona-Speed ya ram 20 mpaka 30gbps kwa sekunde, hii ni ddr3.
-speed ya flash 4mbps mpaka 10mbps
Ram ina speed hadi mara 5000 ya flash.
Usitumie flash kama ram, itakuwa ni kama uende airport na baisikeli halafu ufunge kamba baisikeli yako na bawa la ndege ili ikimbie sana.
chief-pc yangu iko slow sana nadhani in viruses naomba msaada wako please!bei ya flash au memory card inakaribia kufanana na ram tafuta 20,000 nunua ram yako 2gb halafu eka.
ikiwa slow fungua task manager bonyeza ctrl + alt + delete kwa pamoja halafu angalia kitu gani kimejaa kama ni ram au processor au hard diskchief-pc yangu iko slow sana nadhani in viruses naomba msaada wako please!
thanks mkuu let me work on it ! ila pc yangu haina ant-viruses hauna link ya kudownload ant v?ikiwa slow fungua task manager bonyeza ctrl + alt + delete kwa pamoja halafu angalia kitu gani kimejaa kama ni ram au processor au hard disk
windows ngapi?thanks mkuu let me work on it ! ila pc yangu haina ant-viruses hauna link ya kudownload ant v?
window 7 professionalwindows ngapi?
ila ant viruS inaweza kuzidi kufanya pc iwe slow.window 7 professional