kajifunze maana ya single thread perfomance na multi thread perfomance, na kama kitu hujui uliza kwanini inakuwa hivyo na usiclaim vitu usivyyovijua.
1. hio cpu ni ya broadwell aka 5th generation wakati i7 6700k ni skylake aka 6th generation tayari hapo hio i7 ina advantage
2. games na proffesional apps zinategemea sana single thread perfomance na sio wingi wa core. ingekuwa wingi wa core unasaidia kwenye games AMD angekua ndio mwenye cpu kali sababi cpu za amd za bei rahisi kama amd fx8370 zina core 8 compare na cpu kama i7 hio yenye core nne tu(thread 8).
3. i7 6700k unaweza kui overclock kadri utakavyoweza kuipoza na kuipa umeme, wakati xeon zenyewe nyingi hazi overclock na hata kama zinaweza overclock basi hazifiki clock kubwa.
4. skylake inascale vizuri na memory (ram) jinsi unavyoipa ram yenye speed inazidi kuwa na nguvu compare na generation zilizopita
5. pia hizi cpu zina instruction maalum kwa ajili ya mambo mbalimbali, xeon ni kwa ajili ya server/workstation/production kubwa kama animation nk hivyo huwekwa instruction hizo wakati hizi core series ni za watu wa kawaida na pro maofisini nazo huwekwa instruction zake hivyo ni kawaida i7 kuipita xeon.
naomba na wewe uonyeshe
1. huyo mtu wa intel aliosema hio xeon ni best cpu kwa gaming au browsing au Cad
2. utoe maelezo yako ya kitaalam unayoyajua kua hio xeon ni nzuri kwa matumizi yako