Kuhamisha video toka kwenye simu kwenda kwenye laptop

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,672
6,873
Naomba msaada,
Nimejaribu bila mafanikio,
Ila naweza kutoa vitu kwenye compyuta kwenda simu, but viceveser imeshindikana,
Simu yangu Sony Xperia Z ultra 9629
 
Naomba msaada,
Nimejaribu bila mafanikio,
Ila naweza kutoa vitu kwenye compyuta kwenda simu, but viceveser imeshindikana,
Simu yangu Sony Xperia Z ultra 9629
how m.r.. ukiwa na memory card na card reader hiyo shughuli ni ndogo au kama laptop yako na simu yako ina Bluetooth use that method
 
hauhamishi shortcut wewe?

right click halafu copy then kwenye computer click paste.
 
Achana na maprocess marefu hayo kama unatongoza demu. Nunua flash inayoingia kwenye kompyuta na simu. Ama tumia apps kama Shareit kuhamisha vitu btn simu na laptop yako.
 
Naomba msaada,
Nimejaribu bila mafanikio,
Ila naweza kutoa vitu kwenye compyuta kwenda simu, but viceveser imeshindikana,
Simu yangu Sony Xperia Z ultra 9629
mkuu kuna njia moja ipo simple sana na haihitaji kutumia devices kama cables au flash
download software inaitwa Feem lite kisha una install kwenye computer yako na simu yako, then unawasha wi-fi ya simu bila kuwasha data, una connect na computer then unafuata maelekezo mengine kodogo kazi imeisha
mimi ndio ninayotumia na imeni rahisishia kazi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom