Wakuu, flash yangu LG 64GB imegoma

Wakuu, flash yangu LG 64GB imegoma

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
naomba msaada, flash yangu lg 64gb haifanyi kazi. mafaili yot yanayowekwa ndani ya flash hayafanyi kazi. mfano nimeweka movie na audio/video music hazifunguki zote. msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom