Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
Habari za asubuhi wadau. Kuna project naifanya itahitaji kuwa na mamba hizo hapo Kwa ajili ya kutuma sms Kwa watumiaji. Ninaomba kuelekezwa ni wapi ninaweza kuzipata na vipi kuhusu programming ya hii system Nzima nitahitaji kutumia language zipi. Naomba Msaada pia kuhusiana na mambo yote ya muhimu nitayotakiwa kujua kuhusiana na hizi Namba, database management pamoja na integration na web db. Asante