Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,134
- 997
Habari!
Katika harakati za installation ya ArchiCad 17 software nimekutana na tatizo la software kudai kukosekana kwa GSRoot.dll sasa nimetafta suluhu sijafamikiwa licha ya kugoogle na kuweka gsroot.dll file. Bado software inagoma. Je kuna option nyingine au tatizo ni PC na sio Wndow kwani nimeshusha window na kuweka nyingne lakini Archicad 17 imekataa ila zingnie zinakubali. Na bahati mbaya Software hii ndio naihitaji kwa kukamilisha project fulani hapa. Watalaam wa software mnisaidie.