ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habarini....http://Naombeni msaada najua kupitia hili langu nawengine watajifunza,pia najua halipo lisilo wezekana!
Nilikuwa nataka kudelete baadhi ya files katika simu yangu inayo tumia android system bahati mbaya nikaselect files zote na kudelete ikiwa imefika 45% nika cancel kwenda kwenye galley naona picha sizioni nikija kwenye file manager ya simu yangu naona tu hizo files zikiwa hazina picha moja tu la bluetooth lina picha chache ila whatsapp na mengine hayana Picha nikiangalia Memory naona kama ni picha chache zilizo futika
Nahitaji kurudisha vitu vyangu vyote kama ilivyo kuwa mwanzo je nifanyaje msaada tafadhari nimejaribu kurestart lakini imegoma