Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hawa jamaa hamna kitu kabisa ndo maana vifurushi vyao wanauza bei sawa na Bure eti 1GB unapata kwa 3,500/=
Sijapendezwa na speed yao kabisa yaani transfer rate ni 900KB/sec
Sijui maeneo yote Speed yao itakua kimeo hivi au ni kwa hapa Upanga Magharibi ninapofanyia testing?
Duuh hapa hamna kitu kabisa wanapigwa gap mpaka na 3G providers
UPDATE
Speed test ilofanywa Tarehe 19/08/2015 na afrolife inaonesha mabadiliko ya speed na improvement katika speed

Mkuu hiyo hapo, nimetumia simu ... Huawei Ascend Mate 7.
Kama hutojali, tusaidie za tigo na smile ili tu-balance huu uzi. uki-update hapo juu itakuwa poa zaidi.
![]()
View attachment 277745
test link: Speedtest.net by Ookla - My Results
Last edited by a moderator: