mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Wakuu wa jukwaa naomba kuwakilisha hii mada. Nimekuwa nikiona matangazo mengi sana ya hili jengo jipya la mobile plaza, ni gorofa kubwa lenye maduka ya simu tuu..
Binafsi sijawahi kwenda toka lifunguliwe ila kuna mdau kaniambia eti pale hakuna maduka yanayouza simu feki hata moja.. Nitoeni wasiwasi wakuu ni kweli ama? Maana nataka nikanunue simu mpya pale..
Na pia kwa waliobahatika kuingia ndani ya jengo hili sio mbaya ukishare na jina la duka ambalo ni zuri na umelikubali ili wote tupate bidhaa bora kama unayotumia wewe, maana naambiwa kuna maduka kama 360 yote yanauza simu tuuu.