Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 318
Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo
Acha woga wwUMENUNUA WAPI? WALE WANAOUZA NDIO WENYE VIBALI VYWA KUGUSA HIZO MACHINE UTAUMIA
umenunua kampuni gani? hiyo machine ni model gani?Habari wapendwa naomba mwenye ujuzi wa hizi mashine za efd anitumie namba yake kwa sm nina tatizo kwenye mashine yangu posho ipo