Genisys
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 158
- 93
Habari wakuu! Nna cmu aina ya LG G2, cmu hii ni 4g lte sasa bas huwa inasoma 2g na 4g tu, Nnapojaribu kueka setting ya 4g mtandao unakata. Mpaka ss line inayotumia ni halotel na inasoma 2g pekee, Naulza wakuu kama naweza kupata utundu wa kuifanya iweze kusoma 3g au H+. Halaf pia je, ikishndkana nkatumia line ya tigo 4g itategemea na sehemu ili 4g ikubali au sehemu zote itasoma 4g..Mwenye msaada na hili, Tafadhari!
Natanguliza Shukraan!
Natanguliza Shukraan!