mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Heshima kwenu wadau, nina blog yangu ambayo ina miaka mitatu sasa na visitor wa kutosha. Nimejaribu kuomba msaada mara nyingi namna ya kuunga na google adsense bila mafanikio. Nimekuja kwenu hapa jukwaani ili kuwaomba msaada namna ya kuiunga blog yangu pendwa na google adsense. Nawakilisha kwenu watalamu tuweze kupeana ujuzi wa haya mambo yanayobadilika kila siku.