Application ya kublock calls

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
238
178
Wakuu habari,

Straight to the point hivi ni app gani nzuri katika simu ambayo inaweza kuzuia simu nnazopigiwa zisiingie kabisa kwenye simu yangu? Apps nyingi za kublock calls zinablock baada ya simu kuita na ukiangalia unakuta missed call sasa nauliza kama ipo ambayo ni bora kuliko hizo. Yan hata mpigaji asijue kama kablockiwa.

Nawasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Inategemea na aina ya simu mfano HTC ukiblock namba hutakaa uone meseji wala missed call
 
Mrejesho;

Katika kutafuta nimeipata hii inaitwa McSecure Mobile Security ni antivirus na ina option ya kublock calls na sms.
Huoni missed calls ila inachofanya ukipigiwa aliyepiga anaambiwa no. busy.
Nadhan itanifaa.
 
Wakuu habari,

Straight to the point hivi ni app gani nzuri katika simu ambayo inaweza kuzuia simu nnazopigiwa zisiingie kabisa kwenye simu yangu? Apps nyingi za kublock calls zinablock baada ya simu kuita na ukiangalia unakuta missed call sasa nauliza kama ipo ambayo ni bora kuliko hizo. Yan hata mpigaji asijue kama kablockiwa.

Nawasilisha.

Ndugu kama unataka kuEnjoy app hii ya Call + SMS Blocker, swith to WINDOWS phone. huko kuna raha kabisa. ukiblock number hutaona sms wala missed call, hadi uende kwenye blocked calls + sms. na hii app kwenye simu za windows ni strong kiasi kwamba hata kizima na kuwasha simu bado settings hazipotei, sio kama kwenye Android unablock number halafu ghafla unashangaa imejiUnblock yenyewe, na ukipigiwa inaitwa hadi ublock tena.
 
Back
Top Bottom