Kuzipata na kuweza kuzisoma SMS ulizo-delete katika simu yako

mozambiqueone

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
232
119
Tafadhali, kama kichwa kinavyoeleza, anayeweza aeleze kwa urahisi wa kueleweka hapa, kuna meseji moja imefutwa lakini ninaihitaji sana. Unayeweza, tafadhali eleza.
 
Isije ikawa Ni meseji za Shem nawe umemchoka wataka evidence uvunje ndoa!!!! No am kidding , ngoja niangalie software rahisi kwako kuitumia, hill lawezekana japo nyingi zauzwa! Pole
 
Kama unatumia Android unaweza kutumia Sms Back up+ kuwa unahifadhi text zako kiasi kwamba ukifuta kwa bahati mbaya ama kubadili simu, hupotezi texts zako
 
Isije ikawa Ni meseji za Shem nawe umemchoka wataka evidence uvunje ndoa!!!! No am kidding , ngoja niangalie software rahisi kwako kuitumia, hill lawezekana japo nyingi zauzwa! Pole
Hapana ndugu yangu, sio kuvunja ndoa, ndoa yangu bado changa sana. Asante, nasubiri.
 
Kama unatumia Android unaweza kutumia Sms Back up+ kuwa unahifadhi text zako kiasi kwamba ukifuta kwa bahati mbaya ama kubadili simu, hupotezi texts zako

kwa bahati mbaya, meseji ilikuwa katika simu ndogo hivi, option ya back up hata sijafahamu kama inaweza patikana kwenye simu hii. Thanx
 
Mi nataka kujua nifanyaje ili nikimpigia MTU simu iniambie alipo(location) na pia litokee jina lake japo namba sijai-save___na hii HUWAWEI yangu Y625
 
Ok mkuu, kwaiyo ukisha download iyo app toka kwenye playstore, nini kinafuata mkuu,ndo tayari inakuwa active au,kuuliza sio ujinga
ukisha Install tayari itafanya kazi hiyo just make sure una kifurushi na Data iko on wakati una make calls
 
Back
Top Bottom